Sensa 2019: Kenya yaanza zoezi la kuhesabu watu
Kenya imeanza zoezi la kuhesabu watu yaani sensa. Serikali hutumia shughuli hii ili kujua jinsi ya kupanga na kukadiria matumizi ya raslimali na fedha lakini pia wanasiasa hutumia idadi ya watu na maeneo walioko kutathmini azma zao za kisiasa











