Ngabo Medard : Mwanamuziki Meddy ni nani?
Ngabo Medard almaarufu kama Meddy ni mwanamuziki wa Kimataifa kutoka Nchini Rwanda. Ametamba kwa muziki wake Slowly na Spirit .anazungumzia kuhusu Muziki na uraia wake. Je ni Mrundi ama Mnyarwanda?
Video: Faith Sudi
