Ugali wa Rowe: Chakula asili cha Wamanyema na Waha huko Kigoma

Ugali wa Rowe unapata umaarufu mkubwa siku hadi siku, magharibi mwa Tanzania na nchi za Rwanda, Burundi na Congo.

Ugali wa Rowe
Maelezo ya picha, Je unajua kwamba upo ugali usioharibika hata ukikaa mwezi mmoja? Ugali huu unaitwa Rowe
Unatengenezwa kwa muhogo
Maelezo ya picha, Unatengenezwa kutokana na muhogo
Ugali wa Rowe
Maelezo ya picha, Masharti yake usihifadhiwe kwenye jokofu ama sahani.
Unaandaliwa kwa siku 4 mpaka 7, unatengenezwa kwa muhogo.
Maelezo ya picha, Unaandaliwa kwa siku 4 mpaka 7
Ugali wa Rowe baada ya kusongwa
Maelezo ya picha, Ugali wa Rowe baada ya kusongwa
Ugali wa Rowe
Maelezo ya picha, Unahifadhiwa kwenye majani maalum ya mgomba, unaliwa kwa mboga ama bila mboga, unaweza kusafiri nao popote kwenye begi
Ugali wa Rowe
Maelezo ya picha, Ni chakula cha asili cha watu wa Kigoma hasa kabila la Waha na wamanyema
Ugali wa Rowe
Maelezo ya picha, Ugali huu ni biashara inayopata umaarufu mkubwa siku hadi siku, magharibi mwa Tanzania na nchi za Rwanda, Burundi na Congo.