Utawala wa kijeshi wazima jaribio la mapinduzi Sudan - kunani?
Utawala wa mpito unaoongoza kijeshi nchini Sudan umesema umezima jaribio la mapinduzi nchini humo.
Akitangaza kupitia Televisheni ya Taifa ya nchi hiyo, msemaji wa Jeshi Jenerali Jamal al-Din Omar Ibrahim amesema maafisa kadhaa wa jeshi wamekamatwa, akiwemo kiongozi wa jaribio hilo.
Taarifa zaidi na Peter Mfalila.