Bill Maxwell Kasanda: Anaendesha pikipiki kwa kutumia mguu mmoja Kenya

Maelezo ya video, Mwendesha pikipiki aliyepoteza mguu wake Kenya

Bill Maxwell Kasanda ni mwendesha pikipiki mwenye ulemavu ambaye ari yake ya kushiriki katika mashindano ya pikipiki haikuvunjika licha ya kupoteza mguu wake mmoja katika mashindano.

Anasema kwamba kupoteza kiungo cha mwili hakufai kukuzuia kufanya kile unachokipenda sana.

Video: Sharon Machira

Muelekezi: Immanuel Muasya