Hormuz: Kwa nini eneo hili linaweza kuathiri maisha yako duniani

Maelezo ya video, Hormuz: Kwa nini eneo hili linaweza kuathiri maisha yako duniani

Huu ndio mkondo wa bahari wa Hormuz-mojawapo ya maeneo muhimu yalio baharini duniani.

Kile kinachotokea katika eneo hili huathiri bei ya mafuta yako na uchumi duniani.

Wakati Marekani ilipojiondoa katika mkataba wa kinyuklia wa Iran ilileta wasiwasi mkubwa katika eneo hili.