Nasa inasema mwezi unasinyaa kama zabibu iliyokauka, kwanini?

Maelezo ya video, Nasa inasema mwezi unasinyaa kama zabibu iliyokauka, kwanini?

Nasa inasema umesinyaa kwa kiasi ya mita 50 katika miaka milioni mia kadhaa iliyopita. Wanasayansi wameufananisha na zabibu iliyosinyaa.