Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete amewahutubia waombolezaji nyumbani kwa Mengi

Maelezo ya video, Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete amewahutubia waombolezaji nyumbani kwa Mengi

Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ameitembelea familia ya Bwana Regnald Mengi aliyefariki dunia mjini Dubai wiki hii, ambapo ameiomba familia ya marehemu Regnald kuwa na subra. Alitumia fursa hiyo kutoa hotuba fupi kwa waombolezaji waliokuwa nyumbani kwa marehemu Mengi jijini Dar es salaam.