Hali ilivyo Mtwara baada ya Kimbunga Kenneth kuisha nguvu Msumbiji

Maelezo ya video, Hali ilivyo Mtwara baada ya Kimbunga Kenneth kuisha nguvu Msumbiji

Hali ya kawaida imerudi katika maeneo mengi ya mji wa Mtwara na Lindi baada ya Kimbunga Kenneth kuisha nguvu kilipowasili Msumbiji