Katika kisiwa cha Kilwa kuna wakati ilikuwa dola inayojitawala na kusifika kwa utajiri
Kisiwa cha Kilwa kuna wakati ilikuwa dola inayojitawala na kusifika kwa utajiri, lakini sasa eneo hilo ni mji katika mkoa wa lindi ulioko kusini mwa Tanzania ambapo hata maendeleo ya eneo hilo yapo nyuma kiuchumi.