Papa Francis: Tazama Kiongozi wa kanisa katoliki alivyowazuia waumini kuibusu pete yake
Tazama Papa Francis alivyowazuia waumini kuibusu pete yake.
Ni vipi unapaswa kumsalimia Papa? Kwa karne nyingi , ulikuwa ni utamaduni wa Kikatoliki kubusu miguu ya papa. Siku hizi, wengi wa wakatoliki huchagua kuinama na kubusu pete ya Papa.