Mauaji Njombe: "Matumaini ya mama yaliokatizwa kwa mwanawe aliyeazimia kuwa Daktari

Maelezo ya video, Muaji Njombe: "Matumaini ya mama yaliokatizwa kwa mwanawe aliyeazimia kuwa Daktari

Goodluck, mwenye umri wa miaka 5, ni miongoni mwa watoto sita waliouawa huko Njombe kusini magharibi mwa Tanzania. Mamake Hellen Bryson amemuelezea mwandishi wa BBC Leonard Mubali kwamba mwanawe aliazimia kuwa daktari akiwa mkubwa. Sasa matumaini hayo yamekatizwa: