Utafiti wa Udanganyifu: Je ni kweli wanaume ni waongo zaidi ya wanawake?
Ndiyo, wanaume huongopa zaidi ya wanawake.Hayo ni matokeo ya utafiti mkubwa juu ya udanganyifu.
Lakini,wanawake si wakweli kihivyo. 42% ya wanaume waligundulika ni waongo,ikilinganishwa na 38% ya wanawake.Utafiti huo pia umebaini kuwa vijana ni waongo zaidi ya wazee.