Abul Bajandar: Mtu anayemea 'mizizi' mwilini

Maelezo ya video, Mtu anayemea mizizi mwilini

Abul Bajandar anajulikana sana kama 'tree man'''. Ana ugonjwa usio wa kawaida unaohusisha jeni kwa jina

epidermodysplasia verruciformis.