Majani yanavyotumiwa kuomba msamaha miongoni wa Wachagga
Matumizi ya majani kuomba msamaha ni jambo amablo limekuweko kwa muda mrefu miongoni mwa jamii ya Wachagga mkoani Kilimanjaro, kaskazini mwa Tanzania.
Mkusanyiko wa majani aina tatu yaliyofungwa pamoja hurushwa miguuni mwa aliyekosewa, ama kuwekwa katika mlango wa nyumba yake kuonesha ishara ya kuomba radhi.
Lakini utamaduni huu umekuwa ukififia.
Video: Eagan Salla, BBC