Polisi wa Ujerumani walazimika kufunga barabara baada ya pesa kupeperuka.
Polisi huko Ujerumani walazimika kufunga barabara kuu baada ya pesa kupeperushwa hewan na upepo .Wanasema huenda mwenye pesa hizo aliweka mkoba uliokuwa na pesa juu ya gari kisha akasahau na kuendesha. Je, ukipatana na pesa barabarani utafanyaje?