Mikoko inavyoimarisha maisha pwani ya Kenya

Maelezo ya video, Mikoko inavyoimarisha maisha pwani ya Kenya

Kongamano la kwanza duniani la uchumi wa maji linafanyika mjini Nairobi Kenya. Maelfu ya wajumbe wanakutana kuzungumzia namna ya kunufaika kutokana na raslimali za bahari, mito na ziwa bila ya kuziharibu. Katika kijiji cha Gazi pwani ya Kenya, jamii hii imejuwa namna ya kunufaika kwa kilimo cha mikoko.

Mpiga picha: Kenneth Mungai