Botaoshi, mchezo wa Kijapan ambao umechezwa kwa karne moja.

Maelezo ya video, Botaoshi, mchezo wa Kijapan ambao umechezwa kwa karne moja.

Botaoshi, mchezo wa Kijapan ambao umechezwa kwa karne moja. Katika mchezo huu, kuna watu 75 kwa kila timu na lengo ni kuangusha mlingoti wa mita nne.