China imezindua mtangazaji wa TV wa kwanza wa kompyuta duniani
Shirika la habari China Xinhua linasema limezindua mtangazaji wa kwanza aliyeundwa kwa kompyuta duniani. Ni ushirikiano baina ya Xinhua na kampuni kubwa China ya teknolojia, Sogou. Ana mfano wa mtangazaji halisi.