Mbwa kutambua ugonjwa wa Malaria kwa kunusa
Wanasayansi nchini Uingereza wamesema wako na thibitisho la kwanza kwamba mbwa anauwezo wa kubaini ugonjwa wa malaria.
Je, wewe unaweza kumruhusu mbwa kukunusa ili aweze kubaini iwapo unaugua?
Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili