Hadithi ya kusisimua ya Malkia Dihya iliangaziwa karne kadhaa iliyopita
Hadithi ya kusisimua ya Malkia Dihya iliangaziwa karne kadhaa iliyopita
Hata hivyo mengi kumhusu hayaja nakiliwa katika vitabu vya kihistoria na japo limetajwa katika visa kadhaa
Aliongoza mapambano dhidi ya uvamizi wa Maghreb(Numidia) lakini alifariki katika mapigano katika eneo ambalo leo linafahamika kama Algeria