Kwa Picha: Sehemu za ndani za gari lililotumika kumteka Mo Dewji

Gari ambalo linaaminika kutumika katika kumteka bilionea Mohammed Dewji, Mo limepatikana kando ya viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam ambapo bilionea huyo aliachiwa huru.

Maafisa wa poliksi wanasema kuwa watekaji walijaribu kulichoma gari walilotumia kumteka Mo Dewji
Maelezo ya picha, Maafisa wa poliksi wanasema kuwa watekaji walijaribu kulichoma gari walilotumia kumteka Mo Dewji
Baadhi ya wahandishi habari wakilipiga picha gari hilo lililoachwa nje ya eneo la Gymkhana
Maelezo ya picha, Baadhi ya wahandishi habari wakilipiga picha gari hilo
Eneo la nyuma la gari lililotumika kumteka Mo Dewji
Maelezo ya picha, Eneo la nyuma la gari lililotumika kumteka Mo Dewji
Baadhi ya sehemu za gari hilo zilikuwa zimeanza kuchomeka
Maelezo ya picha, Baadhi ya sehemu za gari hilo zilikuwa zimeanza kuchomeka