MV Nyerere Tanzania: Hali ilivyo mwezi mmoja baada ya ajali

Maelezo ya video, MV Nyerere: Hali ilivyo mwezi mmoja baadaye

Ni mwezi mmoja sasa tangu kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere, huko ziwa Victoria, kaskazini magharibi mwa Tanzania, ajali ambayo ilisababisha vifo vya watu zaidi ya 200.

Lakini hali ya usafiri na usalama wa majini imebadilika kwa namna yoyote tangu kutokea kwa ajali hii?

Picha: Eagan Salla