Mzee Yusuph: Miaka 4 baada ya kuachana na Taarab je uamuzi ulikuwa wa sawa?

Maelezo ya sauti, Mzee Yusuph: Miaka 4 baada ya kuachana na Taarab je uamuzi ulikuwa wa sawa?

Ni miaka minne sasa tangu aliyekuwa msaanii maarufu wa muziki wa mwambao wa pwani yaani taarabu kuachana na muziki huo. Mzee Yusuph sasa anaimba Qaswida zenye maudhui ya dini ya kiislam kwa lengo la kumwabudu Mungu. Hali imekuwaje mpaka sasa? amezungumza na BBC Swahili