Sababu za wanawake kupunguza uzani?

Maelezo ya sauti, Sababu za wanawake kupunguza uzani?

Mwanamke mmoja aliyekuwa na uzani wa kilo 136 baada ya miaka miwili aliweza kupoteza kilo 54 na tangu hapo maisha na mwanamke huyo yamebadilika.

Je, kwa nini wanawake wengi hutaka kupunguza uzani kwa mara moja?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com