Ulaji wa mboga una manufaa yoyote kwenye mazingira?

Maelezo ya sauti, Ulaji wa mboga una manufaa yoyote kwenye mazingira?

Idadi ya watu wanaoacha kula nyama na kula mboga peke yake inazidi kuongezeka huku kila mmoja akiwa na sababu zake labda kuwa na afya njema au kuwacha ukatili dhidi ya wanyama. Lakini je, kuwacha kula nyama na kuanza kula mboga pekee kunanufaisha mazingira? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.