Mkasa wa MV Nyerere: Manusura watoa sababu za kupinduka kwa chombo hicho Tanzania
Kufuatia mkasa wa Mv Nyerere uliosababisha vifo vya zaidi ya watu 225 nchini Tanzania, baadhi ya raia walionusurika ajali hiyo wameanza kujitokeza na kuzungumza