MV Nyerere Tanzania: Tazama Maandalizi ya mazishi ya waliofariki

Maelezo ya video, MV Nyerere: Maandalizi ya mazishi ya waliofariki

Kufikia sasa miili ya watu 209 imepatikana walio hai ni 41, maiti 172 zimetambuliwa 37 bado.

Maiti 112 zimechukuliwa na ndugu, jamaa na marafiki wa walioathiriwa na mkasa huo