Urembo bila nywele

Maelezo ya video, Urembo bila nywele

Eve na Nichola ni wanamitindo. Wanakabiliwa na hali inayowafanya nywele zitoke, alopecia. Wamo katika kampeni ya kufanya ukosefu wa nywele kutambuliwa na kukubaliwa.