Tamasha la chakula Zanzibar: Je ni chakula gani cha asili ambacho unakipenda sana?

Maelezo ya video, Tamasha la chakula Zanzibar.

Tunatazama tamasha la chakula Zanzibar. Je ni chakula gani cha asili ambacho unakipenda sana lakini hupati nafasi ya kukipika au kupikiwa

Mpiga Picha: Eagan Salla