Siku ya kuadhimisha tai duniani: Sita kati ya tai wanane wako katika tishio la kuangamia

Maelezo ya video, Siku ya kuadhimisha tai duniani: Sita kati ya tai wanane wako katika tishio la kuangamia

Leo ni siku ya kuadhimisha tai duniani.Nchini Kenya tai sita kati ya wanane wako katika hatari ya kuangamia, na kundi moja la Wakenya wa wakfu wa 'The Peregrine Fund' wameanza juhudi za kuwalinda ndege hao hatua iliowafanya kutambulika duniani.