Mtoto mchanga aokolewa kutoka bomba la maji taka India
Mtoto mchanga ameokolewa kutoka bomba la maji taka India. Mtoto huyo aliokolewa wakati alisikika akilia kutoka kwa bomba la maji taka. "Na kwa sababu mimi sasa ni bibi yake, nimemuita Geetha [maana yake uhuru]" anasema mama aliyemuokoa.