Air Tanzania: Je shirika hili la ndege litakabiliana na hali gani ya kibiashara Tanzania ?
Tanzania, kama ilivyo kwa nchi zingine kama Zambia, Zimbabwe, Nigeria na Uganda, imeamka na kutaka kufufua shirika lake la ndege, ama kama lijulikanavyo, Air Tanzania. Uwekezaji mkubwa umefanywa mpaka sasa katika kufanikisha hilo, lakini moja ya maswali yanayoulizwa ni kwamba, ni hali gani hasa ya biashara ambayo Air Tanzania itaenda kukumbana nayo?
Mwandishi wetu Sammy Awami kutoka Dar es Salaam ametuandalia taarifa hii