'Boys Against FGM': Wavulana wanaosaidia kukabiliana na ukeketaji wa wasichana Kenya
Kwa kutumia michezo ya kuigiza kundi la wavulana linalojiita Boys against FGM, lililo na wafuasi 1,200 wameunagana na wasichana katika kuwasilisha ujumbe kusitisha ukeketaji.
Je inasaidia?
Video: Judith Wambare, BBC