Haba na Haba: Unawezaje kupambana na homa ya mapafu kwa watoto Tanzania?
Homa ya mapafu miongoni mwa watatu husababisha vifo vya watoto wengi duniani. Katika Haba na Haba tunakwuliza, je, kama Mtanzania, unafanya nini kupambana na ugonjwa wa homa ya mapafu kwa watoto nchini Tanzania?