Global Newsbeat: Mitandao ya kijamii hubadilisha tabia ya mtu

Maelezo ya sauti, Mitandao ya kijamii hubadilisha tabia za watu

Mwanasayansi Jaron Lanier amesema watu wanastahili kufuta akaunti zao za mitandao ya kijamii ili kupanua mawazo yao ya kimaisha.

Mitandao ya kijamii imebadilisha mienendo yako?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com