Ringtone: Kwa nini nampenda Zari Hassan
Ringtone anayejulikana kwa wimbo wake 'Tenda Wema' aliyeimba na msanii wa Tanzania Christine Shusho anasema kuwa yeye ndio suluhu kwa matatizo ya kimapenzi ambayo yamekuwa yakimzonga mfanyibiashara huyo wa Uganda.