Gracious Amani: 'Alicia Keys' wa Kenya aliyegusa nyoyo za wengi kwa kipaji chake cha uimbaji
Msichana Mkenya kwa jina, Gracious Amani, kutoka eneo maskini nchini Kenya amepata umaarufu kutokana na sauti yake tamu na ustadi alipokuwa akiwaimbia wageni kutoka Marekani katika mtaa wa Githurai Kimbo, Kiambu.
Video: Anthony Irungu na Ashley Lime, BBC