Rastafari wa Mwanza, Tanzania ambao wana itikadi za kipekee
Katika mji wa Mwanza, kaskazini magharibi mwa Tanzania huwa kuna jamii ya wafuasi wa itikadi za Rastafari ambao huandaa ibada kila Jumamosi.
Hukusanya sadaka na baadaye huwagawia maskini na watu wasiojiweza katika barabara za mjii huo.
Mwandishi wa BBC Eagan Salla alikutana nao na kuandaa taarifa hii.