GNB: Bilionea aomba hifadhi Uingereza
Bilionea mmoja raia wa India,Nirav Modi anayetuhumiwa kuhusika katika kashfa kubwa ya wizi wa pesa katika mabenki makubwa nchini India, sasa anaomba hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa nchini Uingereza.
Je, bilionea huyo anastahili kupewa hifadhi nchini Uingereza?
Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com