Alex Maina: Mwalimu mkuu anayevaa sare ya wanafunzi shuleni Kenya

Maelezo ya video, Mwalimu mkuu anayevaa sare ya wanafunzi shuleni Kenya

Alex Maina, mwalimu mkuu wa shule ya Friends School Kamusinga, - mojawapo ya shule bora nchini Kenya anavaa sare ya wanafunzi shuleni Jumatatu na Ijumaa.

Sababu? 'Mimi ndiye mwanafunzi nambari moja,' anasema.

Video: Anthony Irungu, BBC

Unaweza kusoma pia: