Ndege yapasuka vipande viwili baada ya kuanguka Honduras

Watu wote waliokuwemo walisurika wakati ndege hiyo iliyokuwa safarini kutoka Texas ilianguka Honduras.

A general view shows rescue workers next to the wreckage of a Gulfstream G200 aircraft

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Takriban watu sita raia wa Marekani walijeruhiwa wakati ndege iliandika kwenye mji mkuu wa Honduras
Firefighters take cover from firefighting foam applied onto the wreckage of a Gulfstream G200 aircraft that skidded off the runway during landing at Toncontin International Airport in Tegucigalpa, Honduras

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Ndege hiyo ya Gulfstream G200 ilikuwa safarini kutoka Austin, Texas, wakati ilikosa barabara ya uwanja wa kimataifa wa Toncontin
Authorities work in the area where an executive jet plane with US registration crashed in Tegucigalpa, Honduras

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Mamlaka zinasema kuna ripoti za kukinzana kuhusu ni watu wanagapi walikuwa kwenye ndege hiyo
Rescue workers recover the luggage from the wreckage of a Gulfstream G200 aircraft that skidded off the runway

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Mtu mmoja aliliambia shirika la AFP kuwa aliwasaidia wanaume watano na mwanamke mmoja kuondoka kwenye ndege hiyo wakiwa na majeraha madogo
A military person climbs on top of the tail end of the collapsed plane

Chanzo cha picha, AFP/Getty

Maelezo ya picha, Ndege hiyo ya kubinafsi ilikuwa imetumbukia kwenye bonde
A crane lifts the wreckage of a Gulfstream G200 aircraft that skidded off the runway during landing at Toncontin International Airport in Tegucigalpa, Honduras

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Ukiwa umezungukwa na milima na barabara yake ikiwa ni fupi uwanja wa Toncontin unatajwa kuwa hatari zaidi duniani
Forensic technicians and police officers from the Honduran National Police inspect the wreckage of a Gulfstream G200 aircraft

Chanzo cha picha, AFP/Getty

Maelezo ya picha, Mwaka 2018 ndege ya shirika la TACA ilianguka eneo hilo hilo ambapo watu watano waliuawa
People observe a trailer transporting the wreckage of a Gulfstream G200 aircraft that skidded off the runway

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Serikali inajenga uwanja mpya wa kimataifa karibu umbali wa kilomita 50 kutoka mji mkuu