Prince Harry na Markle: Mtanzania aliyetoka Cardiff kufika kwa harusi Windsor
Mwandishi na mtandazaji wa BBC Salim Kikeke alikutana na Mtanzania Justina John aliyekuwa amesafiri kutoka jijini Cardiff, Wales hadi Windsor kufuatilia yanayojiri harusi ya Mwanamfalme Harry na Bi Meghan Markle.
Nini kilichomvutia?