Watuamiaji wa mitandao kuwa makini Kenya
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameidhinisha Mswada wa Sheria za Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni wa 2018 kuwa Sheria,kama njia ya kukabiliana na habari potovu mitandaoni.
Je, Kenya itwaweza kukabiliana na habari potuvu mitandaoni?
Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com