Wasukuma na utamaduni wao wa kuwafuga nyoka Tanzania
Nyoka ni kivutio cha aina yake kwenye ngoma za kabila la Wasukuma. Kituo cha uhifadhi utamaduni wa kabila la Wasukuma cha Bujora, Mkoa wa Mwanza kaskazini magharibi mwa Tanzania kina jumla ya chatu watano ambao hutumika katika ngoma za jadi.
Method Emanuel amekuwa mfugaji wa nyoka katika kituo hiki kwa takribani miongo miwili, Lakini je anawafugaje nyoka hawa.
Video: Eagan Salla