Kwa nini wanaume wanaogopa damu ya hedhi?

Maelezo ya video, Kwa nini wanaume wanaogopa damu ya hedhi?

Wanaume katika mtaa wa mabanda Kibera Nairobi Kenya wanajaribu kubadili mtazamo kuhusu hedhi kwa wanawake. Joshua Omanya, alikuwa mfungwa nchini na sasa huwahamasisha vijana kuhusu hedhi na hutoa visodo na vikombe vya hedhi kwa wasichana masikini katika mitaa ya mabanda Kenya.