Ndakaini: Ajabu ya bwawa kukosa maji Kenya licha ya mvua kubwa
Mvua kubwa imekuwa ikiendelea kunyesha maeneo mengi Kenya na kusababisha mafuriko ambayo yamewaua zaidi ya watu 100 na kuacha wengine robo milioni bila makao.
Lakini licha ya mvua kubwa kunyesha, bwawa kubwa la maji la Ndakaiti, Murang'a ambalo hutoa maji ya kutumiwa jijini Nairobi limebaki bila maji.
Kwa nini ikawa hivyo?
Video: Ken Mungai
Mwandishi: Victor Kenani