Mitaa ilivyo katika maadhimisho ya Muungano Tanzania

Tazama picha za maeneo tofuati nchini Tanzania asubuhi hii wakati taifa hilo linaadhimisha miaka 54 tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana

Hapa ni katikati mwa mji wa Dar es Salaam eneo la posta: ndipo mahali ambapo palisemekana waandamanaji wangekutana, lakini hakuna kinachoendelea
Maelezo ya picha, Hapa ni katikati mwa mji wa Dar es Salaam eneo la posta: ndipo mahali ambapo palisemekana waandamanaji wangekutana, lakini hakuna kinachoendelea
Mitaa imekuwa mitupu tofauti na msongamano wa magari na wingi wa watu kila siku.
Maelezo ya picha, Mitaa imekuwa mitupu tofauti na msongamano wa magari na wingi wa watu kila siku.
Hapa ni katika Kati ya jiji la Dar es Salaam likiwa kimya wakati siku za kawaida Watu hupishana kwa kupita upande upande
Maelezo ya picha, Hapa ni katika Kati ya jiji la Dar es Salaam likiwa kimya wakati siku za kawaida Watu hupishana kwa kupita upande upande
Hapa ni katika makutano ya eneo la Surrender Bridge ambapo siku za kawaida kuna msongamano wa magari na watembea kwa miguu pia.Lakini leo barabara zote zinatawaliwa na uhaba wa watembea kwa miguu kama hivi
Maelezo ya picha, Hapa ni katika makutano ya eneo la Surrender Bridge ambapo siku za kawaida kuna msongamano wa magari na watembea kwa miguu pia.Lakini leo barabara zote zinatawaliwa na uhaba wa watembea kwa miguu kama hivi
Shughuli zinaendelea kama kawaida katika mtaa wa Kawe, hakuna kilichobadilika
Maelezo ya picha, Shughuli zinaendelea kama kawaida katika mtaa wa Kawe, hakuna kilichobadilika
Mikocheni: Licha ya kwamba sikukuu huwa hakuna shughuli nyingi lakini baadi ya wakaazi wanasema kimya cha leo kimezidi na baadhi ya maduka hayajafunguliwa
Maelezo ya picha, Mikocheni: Licha ya kwamba sikukuu huwa hakuna shughuli nyingi lakini baadhi ya wakaazi wanasema kimya cha leo kimezidi na baadhi ya maduka hayajafunguliwa
Eneo la Msimbazi ambalo kwa leo kimya pia tofauti na kawaida yake
Maelezo ya picha, Eneo la Msimbazi ambalo kwa leo ni kimya pia tofauti na kawaida yake