Eric Omondi: Mambo matatu unayostahili kuzingatia kama mchekeshaji

Maelezo ya video, Eric Omondi: Mambo matatu unayostahili kuzingatia kama mchekeshaji

Mchekeshaji maarufu wa Kenya Eric Omondi anajaribu kuweka historia kama mchekeshaji wa kwanza Afrika mashariki kujaza uwanja wa soka katika tamasha la mchekeshaji mmoja jukwaani.

Hapa anaeleza mambo matatu anayostahili kuzingatia mchekeshaji.