Miki Deo: Mwanamitindo wa kipekee Tanzania

Maelezo ya video, Mwanamitindo wa Tanzania ambaye anaugonjwa wa Vitiligo

Mwanamitindo wa kipee wa Tanzania,Miki Deo ambaye anaugonjwa wa Vitiligo ana matumaini kuendeleza talanta yake na kuwa mwanamitindo wa kimataifa.